Chelsea ya Lampard pasi nyingi magoli machache

venance7

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2019
Posts
558
Reaction score
1,645
Hii timu inabidi isajili watu wa maana kabisa ikizingatiwa tayari wameruhusiwa kusajili, Lampard hadi sasa alichofaulu ni kuwainua vijana wa uingereza na kuwapa nafasi pia kupiga pasi nyingi zisizo na maana. Kuna time hadi unazima tv unapotazama game za Chelsea, daah!

Kuna lundo la wachezaji wengi kama Willian, Kepa, Azpilicueta, Zouma, Pedro, Backley, Christensen, Batshuay, Giroud, Alonso; hawa wote ni mizigo sahizi.
 
Tatizo ni kocha.Kwani anashindwa nini kuwapa maelekezo ya kupiga mashuti?
Hata akileta wachezaji wengine kwa mfumo huu wa sasa ni ndoto kupenya.
Wachezaji wanapata mpira badala ya kukimbia kwa kasi kwenda golini,wanaupoza ili wapeane pasi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…