Chelsea ya Tuchel na kuchukua makombe ya klabu bingwa ulaya Back to Back nini maoni yako katika hili

Chaos Master

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2021
Posts
636
Reaction score
1,310
Chelsea hawakubahatisha kubeba ubingwa wa UEFA, kwa maana hiyo watabeba tena back to back, kiuhalisia ulaya nzima hakuna kocha world class wa kubattle na Tuchel kimbinu, hilo limedhihirika last season, sababu alifungwa na makocha wenye cv ndogo wasio na tictics yaan makocha wanaofundisha soka la (fungulia mbwa) wasio na mifumo rasmi, na makocha wa aina hiyo kule UEFA ni wachache na wengi timu zao huishia hatua za makundi.

Kwa maana hiyo hii UEFA kuna kila dalili ya Chelsea kubeba tena back to back. ni swali rahisi tu, hivi kama Tuchel katinga fainali ya UEFA back to back tena akiwa na timu mbili tofauti, kipi kinachoshindikana kwake kubeba UEFA mfululizo tena baada ya kufanya sajili za wachezaji anaowataka?
 
Walibahatika tu, msihemkwe sana bahati haiji mara mbili
 
Tusiwe na Matarajio makubwa sana
 
Unazungumzia mpira kiushabiki ama!? Kama unafuarahismha baraza tu sawa.. Huyu huyu tuchel si alikuwa na psg na uefa akawa anaisikia bomani tu[emoji23]
 
Back to back ni kazi za Madrid..hao wengine wataifanya back to back ya mdomoni tu
 
Kwa wanaoangalia mpira tu ..

" hakuna timu mbovu kama Chelsea ,ni swala LA muda tu"
 
Back
Top Bottom