Chelsea yafuzu kombe la FIFA dunia kwa ngazi ya vilabu mwaka 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Chelsea imefuzu fainali ya Kombe la Dunia la Klabu (FIFA Club World Cup) baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Fluminense ya Brazil. The Blues sasa wanasubiri mshindi kati ya PSG na Real Madrid kwa ajili ya fainali hiyo inayotarajiwa kufanyika Marekani.

Chelsea walionyesha ubora mkubwa tangu dakika za mwanzo za mchezo, wakitawala kiungo na kutumia vyema nafasi walizopata. Mabao hayo mawili yaliyozamisha matumaini ya Fluminense yameifanya Chelsea kuwa timu ya kwanza kufuzu fainali ya toleo hili jipya la mashindano, ambalo linashirikisha vilabu 32 kwa mara ya kwanza.
 
Tizama njia aliyopita chelsea
Halafu linganisha na wababe wanaokutana leo
Mbabe wa pili huyu hapa


Hapa naona fainali ipp leo. Atakaye pita hapa ndie atakaye nyenyua kwapa.
NATUNZA AKIBA YA MANENO. HUU NI MPIRA CHOCHOTE KINAWEZA KUTOKEA
 
Refa kazingua sana jana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…