Shadida Salum
Journalist at JamiiForums
- Sep 11, 2020
- 69
- 105
Chelsea imeendelea kujihakikishia nafasi nzuri kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya England baada ya kuipiga Burnley bao 3 kwa 0 kwenye mchezo ambao Burnley alikuwa nyumbani katika Dimba la Turf Moor
Magoli ya Chelsea yamefungwa na H. Ziyech dakika ya 26, Goli la pili likafungwa na K. Zouma kunako Dakika ya 63 na dakika saba mbele T. Warner akaiandikia timu yake goli la 3 na la mwisho katika mchezo huo
Mchezo huu unaiweka Burnley katika nafasi ya mwisho kabisa ya msimamo wa ligi hiyo