Chelsea yaipiga Burnley 3- 0

Shadida Salum

Journalist at JamiiForums
Joined
Sep 11, 2020
Posts
69
Reaction score
105


Chelsea imeendelea kujihakikishia nafasi nzuri kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya England baada ya kuipiga Burnley bao 3 kwa 0 kwenye mchezo ambao Burnley alikuwa nyumbani katika Dimba la Turf Moor

Magoli ya Chelsea yamefungwa na H. Ziyech dakika ya 26, Goli la pili likafungwa na K. Zouma kunako Dakika ya 63 na dakika saba mbele T. Warner akaiandikia timu yake goli la 3 na la mwisho katika mchezo huo

Mchezo huu unaiweka Burnley katika nafasi ya mwisho kabisa ya msimamo wa ligi hiyo
 
Huyu Zuma sasa amekua kama Lamine Moro! Anatupia tu kila mechi!! Hongereni sana watoto wa darajani.
 
M
Mzee lengo lako nawewe kuanzisha uzi au? Mbona jukwaa la chelsea lipo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…