Chelsea yamsajili kiungo kinda wa Borussia Dortmund, Christian Pulisic

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Christian Pulisic amejiunga na Chelsea kwa ada ya Paundi Milioni 57.6 lakini atabaki Borussia Dortmund kwa mkopo hadi mwisho wa msimu huu 2018/19

Mchezaji huyo raia wa Marekani mwenye miaka 20 anakuwa mchezaji ghali wa pili(bila kujumuisha golikipa) katika historia ya Chelsea baada ya Alvaro Morata

Mkurugenzi wa Idara ya michezo wa Dortmund, Michael Zorc amesema "Ilikuwa ni ndoto ya Christian kucheza katika ligi kuu ya nchini Uingereza"
=======

Christian Pulisic has joined Chelsea in a £57.6m move from Borussia Dortmund but will be immediately loaned back to the German club for the remainder of the 2018/19 season.

The 20-year-old United States international becomes the second most expensive outfield player in Chelsea's history, after Alvaro Morata.

Pulisic will remain with Bundesliga leaders Dortmund until the end of the season before joining up with Maurizio Sarri's squad ahead of the 2019/20 campaign.

"It was always Christian's dream to play in the Premier League," said Dortmund sporting director Michael Zorc.

"That certainly has to do with his American background, and as a result we were unable to extend his contract.

"Against this background, we have decided to accept an extremely lucrative bid by Chelsea, given the low contract maturity."



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maskini pulisic ameenda kujizika rasmi.... Kwa aina yake ya mpira alifaa timu kma Arsenal,Spurs ama real madrid yaani timu zinazocheza mpira wa kasi muda wote kitu ambacho sidhani kama chelsea atapata hiyo fursa ya kuteleza kama alivyozoea Dortmund. Tamaa ya pesa inaponza vijana wengi wadogo yukwapi Alen halilovic aliyeitwa messi mpya?? Wapi gael kakuta??
 
Kwa mfumo wa chain smoker anafit vzr mkuu japo Ingependeza angekuja pale aungane na Auba Emirates
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…