Mr. MTUI
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 8,130
- 8,362
1. Kiss
Kwanini uombe mwanamke akukisi. Ni wajibu wake kukukis sasa kwanini unajilainisha lainisha.. Bebi naomba unikis huo ni ushamba. wajibu wake kukikis. Tabia zenu za kuomba omba kukisiwa zinasababisha wanawake wajisikie sana
2. Kuomba kutafutwa
Kwanini wewe uombe kutafutwa.mwanaume unapaswa kutafuta pesa yy inampasa kukutafuta iwapo ww umesahau kumtafuta.. Achana na hzo tabia za kulia lia.. Ooooh, siku hizi hunitafuti, acha uboya.
3. Kumtafuta mtu aliyekupotezea..
Huu ni uboya wa hali ya juu.. Vp unakua laini kila siku umtafute wewe..utasikia beb naomba nikutafute.. kwan ww umekua customer care.. Embu onyesha umuhim wako faza.
4. Kumuomba ajibu msg zako...
Hii ni weekness ambayo ukiiendekeza itakutafuna mifupa. Umemtumia manzi msg yy kasoma ameona ni upuuzi kaamua kukaa kimya.. Vp ww umuombe akasome msg ulomtumia.. Kama umemtumia ni lazima atasoma tu bila ataya kumuomba
Itaendelea..
5. Kuomba wishes sijui za besidei sijui za nini.. Wengine wanataka hadi kupostiwa.. Mwanaume unaomba wishes ili iweje... Fanya kazi acha ufala, cc Georgie Jr
6. Kupiga magoti na kumuomba mwanamke akuoe.. 'will you marry me' achana na huu uboya cc Andie