Chemba ya wanaume: Vitu ambavyo ni marufuku mwanaume wa Dar na wa mikoani kumuomba mwanamke

Ni uboya pia mwanaume kupia magoti unapomvalisha pete mwanamke. Acha ujinga unajikokea moto waja kudharauliwa. Na kwanini upige magoti, unambembeleza ili iweje wakati mwanamke aliumbwa kwa ajili yako mzee baba.
Bora mkuu umeliona hili. Ni dalili ya u punga kumpigia magoti demu wakati wa kumvalisha Pete
 
ni kweli
 
Hizi huwa nazitumia bila kujua, kumbe niko makini, asante mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…