kwenye miaka ya 90s wakati nahangaika sana na ndoa yangu niliwahi kuupata huu ugonjwa,
nilihangaika sana hospitalini bila kupona. baadae nilikutana na mmasai aliyekuwa anauza dawa za mizizi,
nilimweze tatizo akawa amenipa kimzizi kamoja. nilienda kuchemsha na kunywa maji yake kweli nilipona kabisa
hadi leo sijawahi kusikia tena hilo tatizo. huwa nawaza sana ule mzizi ulikuwa wa mti gani najaribu kupata picha kuwa ilikuwa ni mzizi wa mti wa mlonge.
Bibie Mamndenyi Kumbe ile dawa uliyonitilia kipindi kile ulisema ni dawa ya ngiri kumbe ni dawa ya mapenzi ulikwenda kwa Mmasai ahhh? nina Bifu na wewe sikubali ndio maaana ninakupenda hivyo ahhh? Mkuu.@King'asti njoo umpe vipande vyake huyu Wifi yako bibie.@Mamndenyi i miss you 😛eace:kwenye miaka ya 90s wakati nahangaika sana na ndoa yangu niliwahi kuupata huu ugonjwa,
nilihangaika sana hospitalini bila kupona. baadae nilikutana na mmasai aliyekuwa anauza dawa za mizizi,
nilimweze tatizo akawa amenipa kimzizi kamoja. nilienda kuchemsha na kunywa maji yake kweli nilipona kabisa
hadi leo sijawahi kusikia tena hilo tatizo. huwa nawaza sana ule mzizi ulikuwa wa mti gani najaribu kupata picha kuwa ilikuwa ni mzizi wa mti wa mlonge.
Nakushauri uwahi hospitali ukamuone daktari wa moyo..Moyo wako utakuwa na matatizo mimi siwezi kukupa diagnosis kutokana na information ulizonipa,lazima daktari achukue vipimo tofauti...Ni muhimu sana ukiwa na matatizo ya moyo upate matibabu sahihi...Kila la kherikatikat yakifua kwa chn kdogo panavuta sana kwa ndan inanpata kwa vpnd mfano mwez huu inankamata kama wk then after 2month kiufup kwakipind inankamata ndo kuuliza wananambia chembe yamoyo
Ni maumivu yanayotokea kwenye kiungo kinaitwa Xiphoid process (mbavu zako zinakokutania, kifuani kwa chini). Ni dalili ya magonjwa mbalimbali kama ya moyo, mfuko wa nyongo na mifupa.
tragedy of the commons

Hebu angalia hii Anatomy mkuu, nimeshindwa kua-upload. Itakusaidia kutofautisha hizo kitu mbili.mkuu, hiyo xiphoid process ndiyo sternum au sio?
Hebu angalia hii Anatomy mkuu, nimeshindwa kua-upload. Itakusaidia kutofautisha hizo kitu mbili.
xiphoid process - Ask.com Safe Search