Chembe ya moyo ni nini na hutokana na nini?

Chembe ya moyo inanitesa 24/7 takribani miezi sita sasa, kimsingi nina ulcers nimetumia dawa nyingi za hospitali na mitishamba hadi leo sijapata ahueni naomba msaada wenu ndugu zangu 0685100909 hata msg nitumie nitakupigia.
 
chembe ya moyo inanitesa 24/7 takribani miezi sita sasa, kimsingi nina ulcers nimetumia dawa nyingi za hostpl na mitishamba hadi leo sijapata ahueni naomba msaada wenu ndugu zangu 0685100909 hata msg nitumie nitakupigia
Maradhi ya VIDONDA VYA TUMBO (ULCERS): Haya ni maradhi ambayo hufanya vidonda upande

wa ndani ya ukuta wa tumbo. Kuna Duodenal ulcer na Gastric ulcer.

DALILI: (1) Kupata maumivu makali chini ya kifua kwa
upande wa ndani.

(2) Kuchoka bila sababu.

(3) Kuumwa kwa mgongo au kiuno.

(4) Kupungua kwa nguvu za kiume.

(5) Kuwa na kichefuchefu baadhi ya wakati.

(6) Kuwa na kiungulia .

(7) Tumbo kujaa gesi.

(8) Tumbo kuwaka moto.

(9) Kukosa choo na wakati mwingine kupata choo kigumu kama cha mbuzi.

(10) Kukosa hamu ya kula.

(11) Kutapika damu au wakati mwingine kutapika nyongo.

(12) Maumivu makali baada ya kula vitu vikali au chakula cha moto.

TIBA: Chukua asali robo lita uchanganye na unga wa arki susi vijiko vinne vikubwa kisha ukoroge kwa kijiko. Chukua vijiko viwili vikubwa vya mchanganyiko huu ukoroge ndani ya kikombe cha maji ya moto. Yakishapoa unywe kikombe kimoja kutwa mara tatu.

siku 14 au siku 21
usipopoona tumia ingine kwa muda wa siku 7 mpaka utakapo pona uje utuambie
 
Dr mzizi mkavu naomba pm au email yako ili nikupatie maelezo yangu zaidi maana hali yangu ni mbaya
 
Mzizi nakukubali Maalim wangu..tangu unipatie tiba ya kiungulia nikapon mpaka leo nakuaminia..big up!
 
Mkuu sikujua kuwa ulipitia taaluma ya utibabu mbadala
Hapo kwenye reds , hebu tupe tafsiri/maneno ya kawaida/yanayofahamika.
 
Mzizi nakukubali Maalim wangu..tangu unipatie tiba ya kiungulia nikapon mpaka leo nakuaminia..big up!
Asante lakini siku nyingine nikikupa Dawa ukipona uje hapa ulete Feedback usiwe mchoyo wa kuleta maendeleo ya Afya yako uje uniambie ile dawa niliyokupa ya kutibu maradhi yako umepona ndio utakuwa umefanya ubinadamu sio kunyamaza kimya sio vizuri.

Mkuu sikujua kuwa ulipitia taaluma ya utibabu mbadala
Hapo kwenye reds , hebu tupe tafsiri/maneno ya kawaida/yanayofahamika.
Mkuu Dawa ya ( arki susi) kwa kiingereza inaitwa jina hili licorice root angalia picha

hapoa chini. Dawa ya
( Lozi) angalia picha kwa kiinghereza inaitwa Almond. Na neno

(Shifaa)
ni neno la kiarabu kwa lugha yetu ya kiswahili neno shifaa ni uponyezi yaani kupona maradhi.

Lozi (Almond)

ARKI SUSI (LICORICE ROOT)
 
Attachments

  • Long_Licorice_Root.jpg
    214.8 KB · Views: 1,245
  • Lozi Almond.jpg
    200.6 KB · Views: 1,250
Chembe ya moyo imenishika ghafla yaani imenibana sana. Msaada kwa mwenye kujua huduma ya haraka kwa ugonjwa huo.
 
Chembe ya moyo imenishika ghafla yaani imenibana sana. Msaada kwa mwenye kujua huduma ya haraka kwa ugonjwa huo.
Ninakushauri Uende kupima Hospitali Daktari atajuwa una Maradhi gani yanayokusumbuwa. Mimi nina hisi una

Maradhi ya VIDONDA VYA TUMBO (ULCERS): Haya ni maradhi ambayo hufanya vidonda upande

wa ndani ya ukuta wa tumbo. Kuna Duodenal ulcer na Gastric ulcer.

DALILI: (1) Kupata maumivu makali chini ya kifua kwa

upande wa ndani.

(2) Kuchoka bila sababu.

(3) Kuumwa kwa mgongo au kiuno.

(4) Kupungua kwa nguvu za kiume.

(5) Kuwa na kichefuchefu baadhi ya wakati.

(6) Kuwa na kiungulia .

(7) Tumbo kujaa gesi.

(8) Tumbo kuwaka moto.

(9) Kukosa choo na wakati mwingine kupata choo kigumu kama cha mbuzi.

(10) Kukosa hamu ya kula.

(11) Kutapika damu au wakati mwingine kutapika nyongo.

(12) Maumivu makali baada ya kula vitu vikali au chakula cha moto.
 
Nimekuwa nikisumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa mda mrefu pamoja na kuanguka/kuinama kwa chembe ya moyo.

Je, vidonda vya tumbo vinahusika na kuanguka kwa chembe ya moyo?

Je ukipona vidonda na chembe inainuka? Ni athari gani,tiba na maelezo ya kitaalamu kuhusu abnormalities za chembe ya moyo.

Kwa wataalamu humu tafadhali.
 
Hamna ugonjwa kama huo ,hizo ni dalili za vidonda vya tumbo mkuu
 
Wana bodi na tumai wazima wote

Naomba kujua ugonjwa wa chembe ya Moyo husababishwa na nini?
Na dawa yake ni nini?
Na tanguliza shukurani zangu, ahsanteni
 
Hizo ni miongoni mwa dalili za vidonda vya tumbo,usiende kwa watabibu wa kienyeji watakutia makovu tu kwenye kifua cha msingi nenda hospitali ukapime ujue hivyo vidonda vimefikia hatua gani ili uanze kuoaya tiba haraka iwezekenavyo.
 
Nashukuru ndugu yangu
 
Hi wana JF mimi ua nafurahi sna pale mzizi mkavu akichangia mada ya maradhi yanayo tusumbua nashangaa kwa hili la chembe ya moyo hhajiusishi ! Inama niugonjwa uso julikana japo si mara ya kwanza nausikia nilisha wahi kumiona mtu akiwa taaban na akatibiwa na bibikizeemflani akitumia glasi ya kunywea maji na kumuinua hiyo chembe kwakweli mgonjwa alipona.
 
Kula kabiji, ndizi mbivu, asali kwa wingi . lakini punguza unywaji pombe, kahawa, uvutaji wa sigara.
 
Daa wakuu habar za kaz, tokea naranja asubui kiungulia kinaniunguza balaa msaada kujua dawa yake
 
Nimekuwa na maumivu ndani ya kifua na nyuma ya mgongo na nikivuta hewa kuna kama vichomi hivi,nilienda hospitali wakanipa diclopar na vidonge vya antibiotic wakidai nina pneumonia ,

Nikakomaa na dozi wiki na nusu maumivu yakawa kwa mbali baada ya dozi kuisha ndani ya wiki ngoma imerudi pale pale, nikaenda tena hospitali wananambia wanipe tena vidonge nimeondoka hata dawa sijachukua wakuu, hebu nishaurini kuna mtu kanambia nichomwe sindano zitasaidia haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…