Chembe ya moyo ni nini na hutokana na nini?

Itakuwa vizuri zaidi. Ni haki yako mgonjwa kupata maelezo ya kina na yaku rudisha kabla yakuondoka kwenye chumba cha daktari. Ila kiukwel kifua hatupimi damu cha zaidi ni kusikiliza milion ya mapafu. Pia dhana yaku sema kuwa waweza kuwa asthmatic nai kataa.
 
Daaahhh....ili tatizo Na Mimi ninalo mwisho wa siku iligundukika kuwa ni latent TB after long dose nothing change mpaka Leo tatizo halijaisha
 
Mkuu hadi wewe una pumu!!!! Aisee ukipata dawa ya kutibu nijulishe na mie nitumie
 
Habari yako dada... ushauri wako ni mzuri..ila nina swali kwako.

Je? Kila anaye banwa na kifua naku shindwa kuhema yuko asthmatic?

Vp mgonjwa wa pneumoniae awezi banwa na kifua nakushindwa hema?

Vp? Mgonwa wa pulmonary tuberculosis (tb) naye awez pata dalili kama izo!?

Jibu ni kwamba ina wezekanika... ila kwa asthma napinga maana ni ugonjwa severe sana saiv ina wezekana tungesha mkosa kwa muda alio kaa bila dawa.
 
 
Kuna Watu ' Maalum ' labda Mwenyezi Mungu aliwaumba kuwa hawatakiwi kuwa na tatizo la ' Pumu ' hapa duniani?
No,sijamaanisha hivyo mkuu ,nielewe niliguswa kwa vile hata mie ni muhanga[emoji17] [emoji17]
 
Mkuu hadi wewe una pumu!!!! Aisee ukipata dawa ya kutibu nijulishe na mie nitumie


we husna si nilikushari ujarib ile dawa?? duh hupo seriuos !mie na mawingu haya ndo ilikuwa worse zaid!baadaye ikaja kwa hali zote !anywys kupanga ni kuchagua
 

Pumu kaka nitafute nipo Dar ni jaribu kukusaidia.
 
Maumivu hayo ya kifua unayapata karibu na matiti upande gani? Je hayo maumivu ni mithili ya mtu anaye pitisha kitu chenye ncha kali katika kifua chako?????
 
Mimi sio daktari;
Maumivu ya namna hiyo yanaweza kuwa ama ni chembo moyo,kiungulia au ni dalili za mwanzo za vidonda vya tumbo.Pia inaweza kuwa pneumonia au angina.Kwa kwaida pneumonia huwa inkuwa na homa pia.Kama hupati homa basi jaribu kufikiria kama unaweza kuwa na vidunda vya tumbo anagali kama mamumivu hayo yanatokea unapokula vyakula vya ina fulani hasa vyakula vichachu.Kama ni kiungulia pia angalia kama kuna vyakula vina sababisha hiyo kama nic chembe ya moyo angalia kama unapokuwa na mshtuko maumivu yanakuwa makali zaidi.Pembeni ya tiba ya pneumonia unaweza tafuta tiba za tumbo kama dawa za antacid/antiflatulent.Ni vizuri umeona daktari wako kabla ya kufanyia ushauri huu kazi
 
Mungu akubariki sana wewe na uzao wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…