Chemical: Mimi ni msichana nataka kubembelezwa

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,772
Reaction score
22,598

Msanii wa kike wa hip hop bongo Chemical, kwa mara ya kwanza amezungumzia maisha yake ya kimapenzi, kitu ambacho ni nadra sana kwa msanii huyo kufanya hivyo.

Akizungumza na team ya Planet Bongo ya East Africa Radio, Chemical amesema yeye kama msichana ana hisia za mapenzi na anajua kupenda, ila anahofia kuumizwa hivyo hawezi nguvu nyingi kwenye masuala ya mapenzi.

“Unajua kuna mambo mengine tunayafanya kwenye muziki kuweza kuweka image nyingine, ila mi niko tofauti na niko real, ukisikiliza nyimbo zangu nyingi Chemical anajua kupenda, anataka kubembelezwa, mi msichana jamani, na mapenzi yapo, ila mimi nahisi nina vitu vini vya kufocus kiasi kwamba kwenye mapenzi sitii nguvu nyingi, sipendi moyo wangu uumie”, amesema Chemicla.

Chemical amefunguka hayo baada ya tetesi kuwa mpenzi wake alikuwa akiishi naye pamoja ambaye pia anayemsimamia, kutokea kutoelewana kiasi cha kususa kumsimamia kazi zake bila taarifa yoyote, licha ya kwamba alisaini naye mkataba.

Muungwana
 
Tomboy wengi wapo real sana, na wana mnato, sema huwa wanapenda ile love ya khuni ukmletea za ublazamen hakuelewi.
 
Naungana na ndgu zangu waliosema TomBoyz ni watamu, nakumbuka nilikuwa na mmoja alikuwa cheupe alafu kisu ila sasa nguo zake ni full maajabu ila akiwa kunako mchezoni adi kweny maisha ya kawaida ckuwahi kujutia kabsa kuwa naye.
 
Daah mtoto Cnyat enzi zile 821 manzi ya R demu hayupo romantic kabisa ila kisu balaa ananiita jombaa, chalii daah ila nikakaza moyo nikamtafuna. Anapiga daah jombaa unakamatia as if huji kufanya tena itakua ulikua unanivutia Kasi

Basi bana nimekumiss tu masai wewe.
 
Hivi hakumuelewa sterio singasinga ambaye alikiri kwenye media kuwa anamuelewa sana kemilaye. Mtoto chemical
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…