hahahahahahahahahahahahahahahahahhahah etetetetetetetetetetete kwikwi kwekwe. De Novo u made my evening Sirvipi ukiambiwa mwanajamii one ni mwanaume tena injinia wa mlimani tena anaenda gym kila siku utasemaje?
Heheheheheeee...si ndio hapo sasa. Haya mambo ya kwenye mtandao ni mambo ya burudani tu. Ukiyachukulia serious utakosa raha bure!
Heheheheheeee...si ndio hapo sasa. Haya mambo ya kwenye mtandao ni mambo ya burudani tu. Ukiyachukulia serious utakosa raha bure!
Hahahaaaa sipati picha WOS ndio mrisho mpoto (joke😀) na binti maringo ndio zitto
hahaaa
Tafadhali kijana Binti Maringo ni Binti...temea mate chini De Novo!.....Mimi ni binti na nina sauti nyororo na ninavaa skin jeans and sun dress....messege delivered....
Mmh instinct zangu zinaniambia De Novo ni Lady Jaydee!...Bisha...
Na ukiambiwa chamtumavi ni mwanaume alafu unakaa una fantacize umbile lake utafanya nini?..utageuka kuwa homosexual?
Kuna ukweli hapa lakini sio 100% kuna watu wastaarabu sana mitandaoni ila tahadhari ni muhimu sana kwa kila mtu.Ndio maana nimesema ni mambo ya burudani tu. Unaburudika hapa na kuyaacha hapa hapa. Usikakaribishe mastranger unaokutana nao kwenye mtandao. Utakuja kuchinjwa kama mbuzi.
Kuna ukweli hapa lakini sio 100% kuna watu wastaarabu sana mitandaoni ila tahadhari ni muhimu sana kwa kila mtu.
hahahaaaa mhinza.... unditovela tu sekaa!!!
ndimi mdimi!!!
Ndio maana nimesema ni mambo ya burudani tu. Unaburudika hapa na kuyaacha hapa hapa. Usikakaribishe nyumbani mastranger unaokutana nao kwenye mtandao. Utakuja kuchinjwa kama mbuzi.
NB: Na hata ukigeuka homosexual hakuna ubaya. Homosexuals ni binadamu kama wewe na mimi.
Yap OPP ni kweli kabisa lakini unaweza kuwa mmoja wa Wapwa wanakutana pasipo uoga wala wasiOh yeah....sio kila mtu ni mbaya. Cha muhimu ni kutumia busara na maarifa ya kawaida (common sense). Kwa sababu hata uraiani unaweza ukakutana na chinjachinja vilevile akakutia bisumilahi kama ng'ombe.
veya Ne ndi mwadada bee.
Aaaa na wewe bana. Utadhani tuko Mafinga bana....aaah...sio wote wala mbwa humu....lol
Acha kuonea wivu lugha za watu kwi kwi kwi kwi!....najua hapo unatamani kujua maana yake hahahaha ulie tuu!...alafu miye sitokei mafinga bana...Natokea kihesa kilolo....
sawa wanging'ombe....
Kihesa na Mafinga si huko huko tu....
Na huyo msukuma wako namwonea huruma. Usikuta ushamlisha t-bone steak ya mbwa....astaghafururahhhhh
sawa wanging'ombe....
Wewe wa wapi? Tanangozi?
Haaa Msukuma ameshafila