MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,410
- 8,184
Habari wadau.
Leo tujifunze moto wa maajabu ambao waganga wengi wanautumia kutapeli watu wakijifanya moto huo umeletwa na nguvu zao za uganga.
Waganga wanachukua pottassium permanganate sababu wateja wao hawaijui wanawadanganya ni dawa ya mizizi ya kiuganga.. kisha wanainyunyuzia na Grycerin.. hapo baada ya muda ni lazima mlipuko utokee.. hapo waganga wanajifanya mlipuko huo umetokana na uchawi ama nguvu zao za kiuganga.
Nimekumbuka mechi ya Simba vs Orlando pirates CAF shirikisho..simba walifanya dawa ya moto uwanjani ili wapate ushindi. Bila kujua Kumbe walipewa practical ya Chemistry tu na mganga wa kienyeji.
Mwisho wa siku wakafungwa dawa ya mganga haijafanya kazi.
Tazama video hii utaelewa vizuri.
Kwa wanaopenda kujaribu waende kwenye maduka ya dawa za tiba asili wataona zinauzwa..
Tazama mganga manyau nyau anavyotumia hii chemistry practical kutapeli watu. Alivyo mjanja anapiga na vidua juu yake ili mteja ajue dua ndio zinawasha moto huo