Leo tujifunze moto wa maajabu ambao waganga wengi wanautumia kutapeli watu wakijifanya moto huo umeletwa na nguvu zao za uganga.
Waganga wanachukua pottassium permanganate sababu wateja wao hawaijui wanawadanganya ni dawa ya mizizi ya kiuganga.. kisha wanainyunyuzia na Grycerin.. hapo baada ya muda ni lazima mlipuko utokee.. hapo waganga wanajifanya mlipuko huo umetokana na uchawi ama nguvu zao za kiuganga.
Nimekumbuka mechi ya Simba vs Orlando pirates CAF shirikisho..simba walifanya dawa ya moto uwanjani ili wapate ushindi. Bila kujua Kumbe walipewa practical ya Chemistry tu na mganga wa kienyeji.
Mwisho wa siku wakafungwa dawa ya mganga haijafanya kazi.
Tazama video hii utaelewa vizuri.
Kwa wanaopenda kujaribu waende kwenye maduka ya dawa za tiba asili wataona zinauzwa..
Your browser is not able to display this video.
Tazama mganga manyau nyau anavyotumia hii chemistry practical kutapeli watu. Alivyo mjanja anapiga na vidua juu yake ili mteja ajue dua ndio zinawasha moto huo
Weka uthibitisho kama caf walipima uchawi na kuuthibitisha ? Caf walipima uchawi kwa kipimo gani ama mzani gani ?
Simba mbumbumbu ndio maana mganga aliwapa sample za chemistry practical na kuwapiga simba hela zao . Kama ni uchawi kweli una nguvu mbona simba hawakushinda mechi hiyo ?

Wacha kushupaza shingo kipuuzi. Simba walitozwa fine kwa kufanya vitendo vya kishirikina uwanjani, kwahiyo caf waliwatoza Simba fine bila kujiridhisha?
Halafu Simba kutoka shinda, jua hata uchawi unazidiana.

Vitendo vya kishirikina havimaanishi kama mganga hajawatapeli . Hata wewe ukivua nguo kisha ukakaa juu ya ungo. Watu watasema unafanya vitendo vya kishirikina. Huku uhalisia umekaa tu huna maajabu yoyote unayofanya