habari zenu wanajf,
nivizuri kuanza kusoma part gani ya chemistry kwa mwanafunzi anayeaanza kidato cha tano i.e physical,general,organic au inorganic chemistry?
Unaweza anza na general chemistry na kama una uwezo wa kushika vitu pia unaweza anza physical at the same time,,, ukijua general hata organic na inorganic utaielewa vizuri
Kwa ushaur wangu dogo anza na general, pia usikurupukie tuit za mtaani kwan utapigwa msasa fasta then siku 1 tu jamaa wanakulaghai kuwa umeshamaliza na kucover kila kitu alafu ukifika shule unaangukia pua.