Hebu tiririka dada, MFANO ukunywaje, wanaume wanautumiaje mara tatu kwa siku, je wanawake wanautumiaje mara moja kwa maisha yao, hebu funguka mamaaa!Jibu ni MFANO
Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
Mkuu nimeshemsha akili mwisho nimejisahau hadi imeungua, hebu tupe jibu sisi wengine tuliokimbia darasani kipindi cha kiswahiliChemsha akili yako unipe jibu la swali hili. Chemsha bongo, nicheupe kama barafu na Ni cheusi kama giza, kuliwa ni HARAMU na kunywa ni HALALI, kina herufi (5) na kinaanza na herufi (M) Kinatumiwa na wanaume mara tatu kwa siku na kinatumiwa na wanawake mara moja katika umri wao, Je, ni kitu gani hicho?
Hebu tiririka dada, MFANO ukunywaje, wanaume wanautumiaje mara tatu kwa siku, je wanawake wanautumiaje mara moja kwa maisha yao, hebu funguka mamaaa!
Hapa wote tumechemka hebu tupe jibu.[h=5]Chemsha akili yako unipe jibu la swali hili. Chemsha bongo, nicheupe kama barafu na Ni cheusi kama giza, kuliwa ni HARAMU na kunywa ni HALALI, kina herufi (5) na kinaanza na herufi (M) Kinatumiwa na wanaume mara tatu kwa siku na kinatumiwa na wanawake mara moja katika umri wao, Je, ni kitu gani hicho?[/h]
Hakuna kitu kama hicho
Huyu jamaa mwizi tu achana naye haonekani hata kujibu post za watu inaonekana tu alitaka kuwachosha watu pole sana ndugu zangu mi hapa nahama narudi jukwaa la gospel na education