Chemsha bogo

Chemsha bogo

Joined
Oct 10, 2017
Posts
11
Reaction score
6
Bata kumi walikuwa wakidonoa uwele ghafla akakatiza mwewe angani je? Hao bata watakuwa wamemuona mwewe kwa jumla ya macho magapi?

Tujikumbushie shule
22f6d14873143384d5b7520bbe83bff6.jpg
 
Kwa jumla ya macho yaliyofanikiwa kumuona/kumuangalia huyo mwewe

Manake sijui ni bata wangapi walikuwa na interest ya kumuangalia mwewe aliyepita angani(sikuwepo)
 
We umejuaje ni wote wamemuona?? unakuta wengine walikuwa na ubao hiyo time ya kumuangalia mwewe watolee wapi..yaani aache kula amuangalie mwewe?
 
Back
Top Bottom