hata kunipa moyo tu ase we una roho mbaya aseekwani mimi ndo nimekununulia bando nikakufungulia JF? 😀
Manina nimeangusha simu na bia za watu, [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]hehe pole mkuu, agiza balimi na nyama choma hapo nakuja kulipa
Bora umesema mapemaMsiangalie hii video, ni mbaya
Mleta mada lazima ana mapepo