Chemsha bongo kwa kila Mtanzania

Chemsha bongo kwa kila Mtanzania

Escrowseal1

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2014
Posts
4,618
Reaction score
4,605
Ni kwanini hizi nchi za bara la Asia zinagawa PhD za bure kwa viongozi wa kiafrika tu na si kutoka mabara mengine?

Labda mawazo ya wengi nitapata fununu kichwa kipate kutulia
 
Wanajua hatupendi kusoma, hivyo wanatupatia vya bure.
 
Back
Top Bottom