CHEMSHA BONGO: Mwanamke ni yupi hapa?

CHEMSHA BONGO: Mwanamke ni yupi hapa?

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
3,799
Reaction score
10,196
Kati ya hawa watatu, wanaume ni wawili na Mwanamke Mmoja.

Je, mwanamke ni yupi na kwanini?

Screenshot_20240527-074933.jpg
 
Hili swali nina uhakika asilimia mia hujui jibu lake!

Linahitaji uwe mtaalam wa mifupa au anatomia nyonga za mwanamke na mwanaume sio sawa zinatofautiana

Pia mwanamke anaweza kuwa na nyonga kama za mwanaume (wapo wachache)

Labda mpaka ifanyike Test ya chromosome kujua nani ana XX kati ya hayo maskeleton

Ila kwa kutumia saikolojia lugha ya mwili mwanamke ni huyo wa mwisho namba 3
 
JUU umeandika vizuri HAPA umepuyanga yaan umekosa hakuna Mwanamke HAPO
GridArt_20240527_094828056.jpg

Pinga kwa facts

Wanaume wakiwa stressed ndo wanakuwa na huo mkao wa 1 na wa 2 yaani mikono inashika upande wa kulia na kushoto wa kichwa
Nb: huu ni uchambuzi wa kisaikolojia ..nina uhakika hata mtoa post hajui jibu sahihi.

Una jua nini kuhusu body language?
 
HAKUNA Mwanamke pale JUU kuna mafuvu tupu, Chemsha Bongo unaelewa maana yake nini?
Amemaanisha jinsia mkuu,

Haya mambo huwa yanatokea mbona, mfano askari mpelelezi akiokota hayo mafuvu kama yanashabiiana nq case yake tuseme labda mwanamke aliyepotea

Hatakuwa na uwezo wa kujua hili fuvu ni la jinsia gani mpaka aende kwa wataalam

Pia maswali kama hayo huwa wanaulizwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza wanaosoma medicine ama midwife au nursing

Akiingia kwenye chumba cha mtihani anamkuta profesa kakaa na rundo la mifupa, ataambiwa achague mfupa kisha mtihani unaanzia hapo

Atapigwa maswali ikiwemo hilo lililo ulizwa na mtoa post na atatakiwa kutoa facts kwanini hilo guvu ni la mwanaume na sio la mwanamke

Au watu wa Forensic ukiwauliza hilo swali watakuambia kwa usahihi
 
Hili swali nina uhakika asilimia mia hujui jibu lake!

Linahitaji uwe mtaalam wa mifupa au anatomia nyonga za mwanamke na mwanaume sio sawa zinatofautiana

Pia mwanamke anaweza kuwa na nyonga kama za mwanaume (wapo wachache)

Labda mpaka ifanyike Test ya chromosome kujua nani ana XX kati ya hayo maskeleton

Ila kwa kutumia saikolojia lugha ya mwili mwanamke ni huyo wa mwisho namba 3
Toa sababu
 
2, wanawake wakiwa na wanaume awatanuagi miguu ovyo, wanajaribugi kubana miguu ili mapaja yasionekane au kusiwe na mvumo
 
Back
Top Bottom