EmanuelSTZ
Member
- Sep 4, 2024
- 77
- 111
Waislam: Salamlykum ~Wakirsito:Bwana Yesu asifiwe
Wanajukwaa Ninachemsha bongo hapa nataka tujadiri kwa pamoja mpaka tupate jibu
swali🙁nineno gani la kiingeleza lenye herufi 26 lakini lina silabi tatu tu)naimani tutapata jibu sahihi tu kuna wataalam wengi sana humu
MWENYEZI MUNGU AMUBARIKI KILA MMOJA WETU
muwe na siku njema