Chemsha Bongo: Ondoa stress za makanikia na eskroo

FUSO

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Posts
34,181
Reaction score
41,563
Nakumbuka mtihani wa darasa la saba unaanza kama masihara hivi?:-

19+ 87 =
219 - 45 =
12 x 34 =
59/7=

...........

Afu huko mbele sasa kuanzia swali la sita na saba hivi, unajuutaa:

Ndege inatoka Dar saa tatu kwenda Chato na VX nalo linatoka Chato saa nane kwenda Dar.

ikiwa spidi ya ndege ni 350km/kwa-lisaa, na speed ya VX ni 250/kwa-lisaa. Umbali wa chato- Dar ni km 900; je zitakutana wapi na saa ngapi???

Sa mi ntajuaje?
Na hizi tochi zote za barabarani, matuta, kuchimba dawa na kunywa chai???
 
Bado Niko chato

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…