Nguo inauzwa dukani 10,000 wewe huna hela ukaamua kwenda kukopa kwa dada yako shilingi 5000 na kwa kaka yako shilingi 5000 ukawa na shilingi 10,000 ukaenda kwa anaye uza nguo ukapatana nae shilingi 9,7000 na ukarudishiwa shilingi 300 na ukaamua kupunguza deni kwa kaka 100 na dada 100 na ukabakia na 100 kwa hiyo deni la dada 4900 na deni la kaka 4900 ukijumlisha 9800 ukiongezea na ela ulio baki nayo 100 inakua 9900 je 100 kiko wapi ????????
Sasa wewe unabaki na pesa kwa sababu gani??? Kama umeamua kuwarudishia kilichobaki mpe kila mmoja sh. 150 uone kama utapata tatizo unalopata sasa. Tatizo lako unasumbuliwa na tamaa. Mia unayoificha itakusaidia nini? Haya una swali lingine Mheshimiwa???
Asante kwa kuongeza siku zangu za kuishiSasa wewe unabaki na pesa kwa sababu gani??? Kama umeamua kuwarudishia kilichobaki mpe kila mmoja sh. 150 uone kama utapata tatizo unalopata sasa. Tatizo lako unasumbuliwa na tamaa. Mia unayoificha itakusaidia nini? Haya una swali lingine Mheshimiwa???
Nguo inauzwa dukani 10,000 wewe huna hela ukaamua kwenda kukopa kwa dada yako shilingi 5000 na kwa kaka yako shilingi 5000 ukawa na shilingi 10,000 ukaenda kwa anaye uza nguo ukapatana nae shilingi 9,7000 na ukarudishiwa shilingi 300 na ukaamua kupunguza deni kwa kaka 100 na dada 100 na ukabakia na 100 kwa hiyo deni la dada 4900 na deni la kaka 4900 ukijumlisha 9800 ukiongezea na ela ulio baki nayo 100 inakua 9900 je 100 kiko wapi ????????
Una matatizo ya hesabu za hasi na chanya bila shaka Madeni ya dada na kaka ni hasi (-9800) Jumlisha na fedha uliyonayo mkononi (Chanya) (100) unapata ngap?, Hesabu za daraza la tatu hizi...-9800 + 100 = 9700...
rekebisha hapo mwishoni kidogo..
-9800 + 100= -9700 na sio 9700