Nguo inauzwa sh.10,000 na unahitaji kuinunua lakini hauna pesa,unaamua kwenda kumkopa kaka yako sh.5000 na dada yako sh.5000.
Unapokwenda kununua nguo ile unakuta bei imeshuka na kuwa sh.9700.Unanua kwa sh.9700 na kurudishiwa sh.300 kisha unaamua kupunguza deni kwa kaka yako unamlpa sh.100,na dada yako pia unamlipa sh.100!hvyo ukabaka unadaiwa 4900 kwa kaka yako na 4900 kwa dada yako yoo ukijumlisha ni sh.9800 + ela uliyobakiwa nayo sh.100=9900!swali sh.100 imeenda wapi yoo?
IIIIISH...yaaan wooote nyie vichwa maji...hiyo si ulitumia kwenye nauli..??!! umesahau kama ulikuwa na 200 tu mfukoni kabla hujaenda kukopa!!? sasa je...!!?
Yaani hili swali huwa linanichanganya mpaka baasi....hako kamia kakaenda waaaaapi??
Umetumia 4850 ya kaka yako, na 4850 ya dada yako kununua nguo.
Ukiwarudishia mia mia unkua umetumia 4850 ya kaka yako dukani/gengeni, na 100 ya kaka yako kwake yeye kaka yako, jumla 4950.
Utakuwa pia umetumia 4850 ya dada yako dukani/gengeni, na 100 ya dada yako kwake yeye dada yako, jumla 4950.
Jumla ya hela ulizo tumia ni 9900, na umebakiwa na mia mfukoni.
In other words......hiyo mia imeenda mfukoni mwako!
Acha kujumlisha madeni wewe.
unataka kwenda kununua nguo dukani, nguo inauzwa shilingi 10,000, huna pesa kwa wakati huo so unaamua kukopa 5,000 kwa dada na 5,000 kwa kaka. Unapoenda dukani unakuta nguo inauzwa 9,700 so unarudishiwa 300. Unaamua kupunguza deni, unampa kaka shilingi 100 na dada 100 na wewe unabaki na 100. Kwa hiyo kaka anabaki anakudai 4900 na dada 4900. Ukichukua 4900 ya kaka na 4900 ya dada inakuwa 9800, ukiongeza na 100 yako inakuwa 9900. Je mia imekwenda wapi?
Unataka kwenda kununua nguo dukani, nguo inauzwa shilingi 10,000, huna pesa kwa wakati huo so unaamua kukopa 5,000 kwa dada na 5,000 kwa kaka. unapoenda dukani unakuta nguo inauzwa 9,700 so unarudishiwa 300. unaamua kupunguza deni, unampa kaka shilingi 100 na dada 100 na wewe unabaki na 100. kwa hiyo kaka anabaki anakudai 4900 na dada 4900. ukichukua 4900 ya kaka na 4900 ya dada inakuwa 9800, ukiongeza na 100 yako inakuwa 9900. je mia imekwenda wapi?