Chemsha bongo ya kiafya

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
ASALAAM ALAYKUM WAISLAM WAKRISTO AMANI YA BWANA IWE

NANYI WAUNGWANA HAMJAMBO?
EIDD MUBARAK NINAWATAKIENI

SIKUKUU NJEMA ILA NINAWAULIZA
SWALI MOJA HILI HAPA CHINI

Je ukiambiwa uchaguwe Kiini cha yai kati ya Hivyo

viini 3 Vya

Mayai
utachaguwa kiini Kipi kati ya hivyo Viini 3

kiafya?

Guess Which One Of these Egg Yolks Is Actually From A HEALTHY Chicken!

Attachments

  • Guess Which One Of these Egg Yolks Is Actually From A HEALTHY Chicken!.gif
    47.8 KB · Views: 158
Mimi naona vyot ni bora,tofauti iliyopo ni aina tu ya mayai!
 
Mimi naona vyot ni bora,tofauti iliyopo ni aina tu ya mayai!
Haiwezekani kuwa Viini vyote ni bora kuna viini 2 vya kutengeneza kwa madawa na kuna kiini 1 ndio cha kuku wa kienyeji nacho ndio cha afya kuliwa kwa binadamu vilivyobakia utapata maradhi ukila. Mkuu.@ TUKUTUKU ninakutakia sikukuu njema.
 
Nami pia nakutakia sikukuu njema,pia nashukuru kwa kunielimisha!
 
Cha kwanza hiko chekundu ndio cha kuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…