Chemsha bongo zawadi itatolewa kwa mshindi.

jaffari yogo

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
685
Reaction score
148
Wadau wangu
leo nina zawadi kubwa lakini
naombeni mjibu maswali yafuatayo.
(1) Nitajie jina la ndege
ambae jina lake ukitoa herufi
mbili za mwanzo unapata jina la
samaki na ukitoa mbili za
mwisho unapata jina la tunda na
ukisoma kinyumenyume ukatoa
erufi za mwanzo mbili unapata
jina la silaha???!
(2) Taja majina mawili ya wadudu ambao ukiunganisha majina yao unapata cheo cha mfanyakazi wa serikali. Mshindi wa kwanza kupata jibu nitamzawadia. Ninamaanisha ninachosema jaribu waweza kuwa mshindi wa maswali hayo.
 
Huna lolote
 
Queen kan umepata suali la kwanza halafu na Sangomwile amepata swali la pili. Zawadi sasa muangalie Pm yako.
 
Waliopata hyo zawadi watujulishe wamepewa nn
 
Kumbe zawadi zinatumwa inbox. Haya wapewe maana wamepata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…