Chemsha Bongo

KadaMpinzani

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2007
Posts
3,715
Reaction score
92
Mnajua kwa nini hakuna pool tables zanzibar ?? ukipata jibu, then angalia jina la rais wa pili wa znz, halafu waziri mkuu mstaafu (sio aliyejiuzulu) then niambie !
 
kote huko lakini amini usiamini ni kweupe peeee, na kuna sababu ! tz kote kuna pool table kasoro znz !
 
NIMETEMBEA KOTE HUKO ! lakini kweupeee ! na wiki kuanzia sasa nitatembelea visiwani vingine (nje ya bongo) nijue what they have in common, najua huko "visiwani" pia sitoona table zozote !
 
wanaogopa kuinama kupinda mgongo hawa jamaa!
Ila mimi pia nina jambo na huu mchezo,
binafsi yangu ni wa bara ila pool table inaniudhi kitendo cha balls ati zinaingia na stick inabaki nje.
 
wanaogopa kuinama kupinda mgongo hawa jamaa!
Ila mimi pia nina jambo na huu mchezo,
binafsi yangu ni wa bara ila pool table inaniudhi kitendo cha balls ati zinaingia na stick inabaki nje.

Mutu nakupa 100/100 ! UMELENGA !
 
Mimi nafikiri ni matatizo ya watu wa mwambao kuogopa kuinama. Maana hata watu wa Mombasa huwa hawapendi michezo ya kuinainama, au ndiyo ile kuzoea kuingia mlango wa uani!!
 
Hi tabia ya stick kubaki nje siipendi...hii nyingine ila stick inakwenda ndani balls zinakwa nje.

Kushida hakuhitaji ujuzi sana.

Jioni njema.
 
mmmmmmh labda masuala ya kuinua inua si ruksa kabisa.lakini umetembe pote au ni polojo tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…