ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,040
- 7,303
Na mashaka kidogo na majibu yako kutawaliwa kwa namna gani maana Tanzania imetawaliwa na waingerza pia wajerumani naomba ufafanuzi zaidiMikindani patamu kwelikweli na beach ya mawe, asante kwa mji huu wa kihistoria.
jibu ni:
1. Eritrea 2. Ethiopia 3. Liberia 4. Tanzania.
Lengo la chemsha bongo lilikuwa ni kupima watanzania wangapi wako aware na fact kwamba Tanzania haijawahi kutawaliwa.
Jumapili njema.
Na mashaka kidogo na majibu yako kutawaliwa kwa namna gani maana Tanzania imetawaliwa na waingerza pia wajerumani naomba ufafanuzi zaidi
Na mashaka kidogo na majibu yako kutawaliwa kwa namna gani maana Tanzania imetawaliwa na waingerza pia wajerumani naomba ufafanuzi zaidi
Mkuu, what jamaa hapo juu anachomanisha kuwa Tanzania(1964) haijawai tawaliwa, what u mean i guess ni Tanganyika/Zanzibar ambazo ni nchi zilizotawaliwa na Mwingereza ktk wakati tofauti including mjerumani kwa upande wa bara.
Ila still nina mashaka na Ethipia hivi waitalinao hawakurudi kweli kuwatalawa ingawa ilikuwa briefly??, am some how poor in history plz throw more lights into me over that....!!
Mikindani patamu kwelikweli na beach ya mawe, asante kwa mji huu wa kihistoria.
jibu ni:
1. Eritrea 2. Ethiopia 3. Liberia 4. Tanzania.
Lengo la chemsha bongo lilikuwa ni kupima watanzania wangapi wako aware na fact kwamba Tanzania haijawahi kutawaliwa.
Jumapili njema.
duh mkuu umefikiria mbali...mdau alitudanganya...tuitishe change sasa!Kwa maana hiyo basi nchi kama Burkinafaso ( formely upper Volta), Zaire formely Congo Kinshasa, Benin formerly Dahomey, southern Rhodesia formerly Zimbabwe, Northern Rhodisia formerly Zambia, tutasemaje
Kwa maana hiyo basi nchi kama Burkinafaso ( formely upper Volta), Zaire formely Congo Kinshasa, Benin formerly Dahomey, southern Rhodesia formerly Zimbabwe, Northern Rhodisia formerly Zambia, tutasemaje