Chemsha Bongo

Chemsha Bongo

kakolo

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
397
Reaction score
341
Kuna mchezo wa Tennis ukichezwa na vijana wanne. Ambao ni Ali, Bev, Caz na Dan. Huu ni mchanganuo wa jumla wa miaka yao.

A + B = 68
C + D = 61
C + B = 50
A + D = 79
Tafuta umri wa kila mmoja na onyesha nani ni mdogo kuliko wote?
 
Samahani mtoa mada hii chemsha bongo yako ina uhusiano gani na jukwaa la siasa?
 
Back
Top Bottom