CHEMSHA BONGO

CHEMSHA BONGO

ally kazembe

Member
Joined
Jun 10, 2018
Posts
40
Reaction score
26
Ukijibu nakupa Zawadi.
Kuna MTOTO alikuwa analia juu ya KABURI alipoulizwa analilia nini akajibu KAKA wa MKE wa MAREHEMU ni MJOMBA WANGU, JE MAITI NI NANI..?
 
Mimi niliambiwa ya Ngoswe muachie Ngoswe. Mimi ni nani nianze kuhangaika na familia za watu.?

All in all apumzike kwa amani marehemu.
 
Back
Top Bottom