Wakuu hebu tuchemshe bongo zetu kidogo, Je ni nani anaweza kunipa idadi ya magari yote yatakayosajiliwa hapa Tanzania kwa kufuata mfumo huu.
Gari ya kwanza kusajiliwa hapa nchini ni yenye number T001 AAA na gari ya mwisho kabisa kusajiliwa itakuwa T999 ZZZ.
Je kutakuwa na magari mangapi? Onyesha namna jibu lilivyopatikana...zawadi nono kwa mshindi itatolewa.
Karibuni tuchemshe Bongo zetu.