Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,345
- 10,885
Salaam wanaJF!
Poleni na shida na matatizo lukuki yanatukabili kila sekunde hapa Tanzania.
Lakini licha ya matatizo hayo, nimeona ni vyema wakati mwingine tuondoe kidogo hizo stress kwa kupata burudani.
Ndio maana nimependelea kuwe na thread inayozungumzia masuala ya kuchemsha bongo zetu na kuondokana na upuuzi wa DJ Megawati na MC Ewura!
Karibuni!