Chemsha bongo

Chemsha bongo

Wa kusoma

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2011
Posts
3,454
Reaction score
2,975
NAKUJA IVI

Kipofu alikua na mke, kiziwi akawa anatembea nae, kwa bahati bubu akafaham sasa atafafanyaje aweze kumwambia kipofu?
 
Mwambie bubu aache umbea. Afanye mambo yake . kwanza ananikera na mikelele yake isiyoeleweka
 
Back
Top Bottom