Chemsha bongo!!

Chemsha bongo!!

Mdau Makini

Member
Joined
Sep 18, 2012
Posts
70
Reaction score
10
Mimi ni mpiga picha ambaye nilipiga picha mpiga picha aliyekuwa akiwa piga picha wapiga picha waliokuwa wanapigana picha, Je mimi niliwapiga picha watu wangapi??.
 
Mhh, inategemea umesimama kona ipi ya huyo unayempiga picha.

6069d1215511805-photographing-photographer-d3-street-l1002583.jpg
 
Back
Top Bottom