Mdau Makini Member Joined Sep 18, 2012 Posts 70 Reaction score 10 Mar 26, 2013 #1 Mimi ni mpiga picha ambaye nilipiga picha mpiga picha aliyekuwa akiwa piga picha wapiga picha waliokuwa wanapigana picha, Je mimi niliwapiga picha watu wangapi??.
Mimi ni mpiga picha ambaye nilipiga picha mpiga picha aliyekuwa akiwa piga picha wapiga picha waliokuwa wanapigana picha, Je mimi niliwapiga picha watu wangapi??.
C COPPER JF-Expert Member Joined Dec 28, 2012 Posts 2,368 Reaction score 1,488 Mar 26, 2013 #2 Watatu
Sikonge JF-Expert Member Joined Jan 19, 2008 Posts 11,584 Reaction score 6,136 Mar 26, 2013 #3 Mhh, inategemea umesimama kona ipi ya huyo unayempiga picha.