Che Kalizozele
JF-Expert Member
- Jul 20, 2008
- 777
- 50
Una kikapu ndani yake kuna machungwa kumi ambayo unataka kuwagawia watoto kumi,kila mmoja anatakiwa kupata chungwa moja na ndani ya kikapu libaki chungwa moja.Ebu sema utayagawa vipi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya machungwa kumi uwagawie watoto kumi libaki chungwa moja...?
I knew the answer umejibu haraka mno mkuu!!!!
Umejibu fasta sana mkuu, lakini safi sana ilikuwa bab kubwa!
Acha uhuni.