Una kikapu ndani yake kuna machungwa kumi ambayo unataka kuwagawia watoto kumi,kila mmoja anatakiwa kupata chungwa moja na ndani ya kikapu libaki chungwa moja.Ebu sema utayagawa vipi!
Here we go,unachukua machungwa tisa unawapa watoto tisa kwenye kapu linabaki moja kisha unachukua kapu pamoja na chungwa lililobaki unampa mtoto aliyebaki.
Unagawa watoto katika makundi matatu. Makundi mawili yanakuwa ya watoto 4, na moja la watoto wawili. Kisha unagawa machungwa matatu kwenye kila kundi. Moja linabaki kama ulivyotaka.