"Kaka wa mke wa maiti ni mjomba wangu"
Assuming hapa mjomba imetumika kumaanisha 'strictly' ndugu wa kiume wa mama..
Basi, uhusiano ni zaidi ya kuwa BABA YAKE (ingawa simply hilo ndilo linaweza kuwa jibu) ila kiundani zaidi ndugu wote wa kike wa mama yako wakifiwa na mume, basi 'kaka wa mke wa maiti' will still be mjomba wako.