Mwalimu alitoa chemsha bongo darasani "Laiti jana ingelikuwa kesho basi leo ingelikuwa Ijumaa" Mwalimu aliyasema maneno haya siku gani? Naomba mnipe jibu wanajf.
Mwalimu alitoa chemsha bongo
darasani "Laiti jana ingelikuwa kesho basi leo ingelikuwa Ijumaa"
Mwalimu aliyasema maneno haya siku gani? Naomba mnipe jibu
wanajf.
Mkuu,huwa unapitia kweli mijadala ya humu jamvini?,siku 2,3 za nyuma hukuiona hyo chemsha bongo yako uliyoikopi na kupesti hapa?,ishajibiwa sana kaka hii kitu ndo maana watu wengi hawakujibu