Chemshabongo

Chemshabongo

phil78

Member
Joined
Jan 12, 2023
Posts
47
Reaction score
71
Endapo "E" atasukuma hili jiwe nani na nani watakufa hapa..?
FB_IMG_16737963119542900.jpg
 
Hakuna atakaekufa

D - huyu atapenya kwenye uwazi wa hilo jiwe
C,B,A - hawa wote watapona maana jiwe linalosukumwa na E limepungua uzito (lina uwazi mkubwa) hivyo halitaweza kuleta madhara yoyote kwao
 
Back
Top Bottom