Mejasoko
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 298
- 600
JAMES MILNER: "Wakati Messi alinipiga chenga, nilisikia umati ukipiga kelele, kana kwamba walikuwa wameona bao. Wakati mechi imemalizika, nilimsalimu na nikamwambia, 'Sasa utanifanya kuwa gumzo Duniani.'
Yeye alijibu, 'Sikuweza kupata njia nyingine ya kukupita. Ni sehemu ya soka, na sio kwa madharau. Wewe ni mchezaji mzuri na unachezea moja ya timu bora zaidi duniani. Labda chenga zangu zitakufanya kuwa gumzo duniani.'
'Unapaswa kutumia hilo kwa faida yako. Baada ya hapo, ukurasa wangu wa Instagram ulianza kukua kwa kasi ajabu, na kufuatiliwa na maelfu ya mashabiki na maoni ya "Messi, Messi, Messi." Nilipata wafuasi wengi. Labda nikikutana tena na Messi, nitafanya kitu kingine cha kuvutia. Ninataka wafuasi wapya 😂.'"