Wadau naona Uhusika wa John Andrew Chenge, Iddris Rashid, Tanil Kumar Somaiya na Shailesh Pragji Vithlani katika Manunuzi ya Radar 1999 ni uhujumu wa Uchumi na inabidi washitakiwe kuhujumu Uchumi wa Taifa. Katika kesi hii Hosea naye aunganishwe. SFO Report on the Radar Saga
Kwani mwenzetu LeopoldByongje, unaelewa uko kwenye taaluma gani, alafu tuambie taaluma yako as well. hii itatusaidia tujue tukusaidie vipi. nadhani wadau wahapa Bus & Econ labda wangefikiria point yako. Sasa hivi lengo letu ni kusaidia wafanya biashara na wajasiri mali. ndio twawapa kipao mbele. labda jaribu Jukwaa la wenye hio taaluma!!!