Mmmmh! Kumbe tupo wengi wa Mundebaeee...Hapa nampata Mundeba (RSM) na Bufa, ila Bufa alipata ajari na Iveco lake lile ila alipona
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee mkali sana yule [emoji16][emoji16]Mmmmh! Kumbe tupo wengi wa Mundebaeee...
]Kupata hakuna kudogo
834 kj makutupora, au zipo mbili mzee?Mie 881 kj makutopora
Zaina zaina (zaina).
Tumepiga jaramba mzakwe,
881kj makutu itakuwa ya Congo bila shaka
Ahaaaa mambo ya Kabuku,835KJ kipindi nchi ina heshima na adabu,kambi hii imenifunza mengi sana chini ya CO Mtono,na detach yetu ya pale Maramba chini ya Massawe,na C NDIO ILIKUWA KOMBANIA YANGU,namkumbuka afande Omary(comrade),afande Shija,hawa walinifanya niingie viwanja vya dunia bila woga wowote,mafunzo yao MM yananifanya hadi leo niwe na ujasiri wa kutake risk,duu maisha yale ya mihogo,kituko cha mke wa CO na kuruta Fulani mmmmmmmmm.Tukumbushane kipindi hicho cha JKT,
"Usiwe kama police pushapu kwenye godoro,uwe kala lisoja pushapu kwenye kokoto"
Moja ya mstari ulionivutia sana enziii hizo nipo 835KJ..
Ni mtu piece sana yule hamkumwelewa tu. Nilipiga nae stori sana tukikutana mjini.
Code name:OP Kikwete
Unit: 842 KJ
Chenja: Komando chanty
Ilikuwa ikipigwa iyo chenja najiona kama nipo havana, cuba katika mafunzo yangu ya mwisho kabisa ya u-field marshal.
Ningekumbuka mashairi yake ningeandika hapa ila mambo yashakuwa mengi tena,
Tawile makamanda!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Op gani mkuu.821kj mwisho wa reli hiyo.
afande Ambari-
Sikumbuki, ila 2013 kwa mujibu wa sheriaOp gani mkuu.
]Kupata hakuna kudogo
[emoji23][emoji23] umenikumbusha mbali sana kunitajia hao viumbe.Polisi hamna jipya small square majungu master parade ndo ucseme, mkikutana uwanja wa damu ni unanga co unaa.. na kutishana msalimie Meja Mtigandi Coplo kashinje na cpl Machumu na Ssgt Omari HQ Coy..!
Hapo upo na pvt Ibrah, huku Bruno akimfukuzia Hadia wa ngoma Coy, pvt Nchimbi na Kamwela haha.835 kj mgambo operation kikwete bravo coy chenja ysngu kubwa ilikuwa ni neilaaa weee neilaaaa weeee kitambala changuuuuu
Unamkumbuka Umede? Mbavu Tadei, Mwaikimba haha... Pvt Bruno na Ibrah waliwakimbiza sana.Tulikuwa wote Mgambo JKT..mimi bravo enzi hizoo
[emoji3][emoji3][emoji3] Kwa Akina Lymo, Almasi, Nyowade.Code name:OP Kikwete
Unit: 842 KJ
Chenja: Komando chanty
Ilikuwa ikipigwa iyo chenja najiona kama nipo havana, cuba katika mafunzo yangu ya mwisho kabisa ya u-field marshal.
Ningekumbuka mashairi yake ningeandika hapa ila mambo yashakuwa mengi tena,
Tawile makamanda!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mlale moja hiyoo
Huyu muongo sn, mm nimekaa sn hapo makutu hadi mkataba nimemalizia hapo huwezi kunidanganya881kj makutu itakuwa ya Congo bila shaka