Cheo cha kuteuliwa ni kama kupandishwa kwenye Baiskeli

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Cheo cha kuteuliwa ni kama kupandishwa kwenye Baiskeli.

Huwezi kuketi juu ya baiskeli daima. Kuna wakati wa kupanda, wakati wa kupiga pedeli na wakati wa kushuka.

Muhimu hakikisha miguu yako haisahau kutembea siku ukishuka.
 
Kweli kabisa mkuu, cheo cha kuteuliwa hasa vya kisiasa hutolewa kama hisani na mamlaka ya uteuzi, muhusika akishindwa kujipendekeza kwa kiongozi wake, ama kuwa mnafiki, ama hata kulipa fadhila huondolewa mara moja katika nafasi yake.
 
Cheo cha kuteuliwa ni kama kupandishwa kwenye Baiskeli.

Huwezi kuketi juu ya baiskeli daima. Kuna wakati wa kupanda, wakati wa kupiga pedeli na wakati wa kushuka.

Muhimu hakikisha miguu yako haisahau kutembea siku ukishuka.
Kuteuliwa ni UTUMWA kila siku unatakuwa ukae jirani na TV au Redio kujua hatima yako
 
Back
Top Bottom