Meneja Wa Makampuni JF-Expert Member Joined Jul 7, 2020 Posts 7,899 Reaction score 10,415 Jul 3, 2023 #1 Cheo cha kuteuliwa ni kama kupandishwa kwenye Baiskeli. Huwezi kuketi juu ya baiskeli daima. Kuna wakati wa kupanda, wakati wa kupiga pedeli na wakati wa kushuka. Muhimu hakikisha miguu yako haisahau kutembea siku ukishuka.
Cheo cha kuteuliwa ni kama kupandishwa kwenye Baiskeli. Huwezi kuketi juu ya baiskeli daima. Kuna wakati wa kupanda, wakati wa kupiga pedeli na wakati wa kushuka. Muhimu hakikisha miguu yako haisahau kutembea siku ukishuka.
mbenge JF-Expert Member Joined May 15, 2019 Posts 4,864 Reaction score 10,483 Jul 3, 2023 #2 Meneja Wa Makampuni said: Cheo cha kuteuliwa ni kama kupandishwa kwenye Baiskeli. Huwezi kuketi juu ya baiskeli daima. Kuna wakati wa kupanda, wakati wa kupiga pedeli na wakati wa kushuka. Muhimu hakikisha miguu yako haisahau kutembea siku ukishuka. Click to expand... Kweli kabisa mkuu, cheo cha kuteuliwa hasa vya kisiasa hutolewa kama hisani na mamlaka ya uteuzi, muhusika akishindwa kujipendekeza kwa kiongozi wake, ama kuwa mnafiki, ama hata kulipa fadhila huondolewa mara moja katika nafasi yake.
Meneja Wa Makampuni said: Cheo cha kuteuliwa ni kama kupandishwa kwenye Baiskeli. Huwezi kuketi juu ya baiskeli daima. Kuna wakati wa kupanda, wakati wa kupiga pedeli na wakati wa kushuka. Muhimu hakikisha miguu yako haisahau kutembea siku ukishuka. Click to expand... Kweli kabisa mkuu, cheo cha kuteuliwa hasa vya kisiasa hutolewa kama hisani na mamlaka ya uteuzi, muhusika akishindwa kujipendekeza kwa kiongozi wake, ama kuwa mnafiki, ama hata kulipa fadhila huondolewa mara moja katika nafasi yake.
M MKWEAMINAZI JF-Expert Member Joined May 28, 2023 Posts 930 Reaction score 1,304 Jul 3, 2023 #3 Meneja Wa Makampuni said: Cheo cha kuteuliwa ni kama kupandishwa kwenye Baiskeli. Huwezi kuketi juu ya baiskeli daima. Kuna wakati wa kupanda, wakati wa kupiga pedeli na wakati wa kushuka. Muhimu hakikisha miguu yako haisahau kutembea siku ukishuka. Click to expand... Kuteuliwa ni UTUMWA kila siku unatakuwa ukae jirani na TV au Redio kujua hatima yako
Meneja Wa Makampuni said: Cheo cha kuteuliwa ni kama kupandishwa kwenye Baiskeli. Huwezi kuketi juu ya baiskeli daima. Kuna wakati wa kupanda, wakati wa kupiga pedeli na wakati wa kushuka. Muhimu hakikisha miguu yako haisahau kutembea siku ukishuka. Click to expand... Kuteuliwa ni UTUMWA kila siku unatakuwa ukae jirani na TV au Redio kujua hatima yako