Cheo ni dhamana: DC amekuwa Katibu mkuu CCM na RC amekuwa Naibu Katibu mkuu, siasani siyo jeshini!

Cheo ni dhamana: DC amekuwa Katibu mkuu CCM na RC amekuwa Naibu Katibu mkuu, siasani siyo jeshini!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ni katika kuwatia moyo tu watendaji wa serikali kwamba wachape kazi bila ya kujali ukubwa wala udogo wa vyeo vyao kwani CCM fursa ni nyingi mno.

Nawatakia Dominica yenye baraka.

Kazi Iendelee!
 
Kweli siasa mchezo fulani hivi kama draft walahi....kweli DC kaja kuwa boss wa RC ndani chama
 
Muhimu kuheshimiana na kufata sheria na miongozo ya kazi sio kuoneana.

Vipi Mkuu johnthebaptist wewe hujapewa nafasi hata ya Ujumbe wa CC???
 
Ni katika kuwatia moyo tu watendaji wa serikali kwamba wachape kazi bila ya kujali ukubwa wala udogo wa vyeo vyao kwani CCM fursa ni nyingi mno.

Nawatakia Dominica yenye baraka.

Kazi Iendelee!
Mbona hujipongezi wewe kuwa mtendaji wa kijiji?
 
Back
Top Bottom