johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mbona hujipongezi wewe kuwa mtendaji wa kijiji?Ni katika kuwatia moyo tu watendaji wa serikali kwamba wachape kazi bila ya kujali ukubwa wala udogo wa vyeo vyao kwani CCM fursa ni nyingi mno.
Nawatakia Dominica yenye baraka.
Kazi Iendelee!
Yeye ni mtendaji wa kijiji cha itabagumba.Muhimu kuheshimiana na kufata sheria na miongozo ya kazi sio kuoneana.
Vipi Mkuu johnthebaptist wewe hujapewa nafasi hata ya Ujumbe wa CC???
Makonda hana nafasi yoyote ndani ya chama na hana mvuto tenaKweli siasa mchezo fulani hivi kama draft walahi....kweli DC kaja kuwa boss wa RC ndani chama
Hahahaha.....nilidhani kwa ukaribu alionao pale Lumumba corridor angeteuliwa yeye 😂😂Yeye ni mtendaji wa kijiji cha itabagumba.
Bosi wako hapo Nanguruwe Suleiman Methew tumeitisha vyeti vyake kaa mkao wa kula we mmakonde!Mbona hujipongezi wewe kuwa mtendaji wa kijiji?
Hujaelewa.......RC wa Ruvuma kawa Katibu Msaidizi wa Chongolo aliekuwa DC KinondoniMakonda hana nafasi yoyote ndani ya chama na hana mvuto tena
OK hapo nimekusoma kiongoziHujaelewa.......RC wa Ruvuma kawa Katibu Msaidizi wa Chongolo aliekuwa DC Kinondoni