INAUZWA Cherehani ya kutumia mkono kushona

INAUZWA Cherehani ya kutumia mkono kushona

Belight Technology

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
583
Reaction score
124
CHEREHANI YA KUTUMIA MKONO yenye ukubwa wa Stepler pin machine ambayo unaitumia kushona palipochanika/kufumuka kwa urahisi. Inashona kama cherehani ya kawaida.
1f53a.png
Haitumii betri
1f53a.png
Rahis kubeba
1f53a.png
Unashona: cotton, polyester, silk nk.

Bei: Rejareja ni Tsh 19,900/=
(Kwa mahitaji ya Jumla wasiliana nasi)

Kwa Dar delivery ni Tsh 3,000/= (Unalipa unapopokea mzigo)
Mikoani (Nje ya Dsm) ni Tsh 8,000/= (Unalipa kabla)

Angalia maelekezo ya Video namna inavofanya kazi



61Xv0mVXXjL._SL1000_.jpg
 
Back
Top Bottom