Hizo sina kwa sasa mkuuZile ndogo kabisa portable za mkono huna?
Vichwa pekee mkuu. Mashine hizi za umeme unaweza kutumia meza ya kawaida ukaweka juu yake kisha ukapiga kaziHizo mashine unauza na meza zake au ni vichwa tu!?
IMEUZWA
Unauza na Meza yakeHabari wakuu
Mashine hizi za kisasa za kushona kwa kutumia umeme zinauzwa .
Unaweza kushona mishono zaidi ya ishirini kwa wakati mmoja kwa kadri utakavyopenda wewe.
Bei yake ni Shilingi 200,000/- kwa kila moja.
Mashine zipo Dar Es Salaam ila unaweza kutumiwa popote.
Karibuni
Hapana mkuuUnauza na Meza yake